info@nyumbasaccos.co.tz +255 746 436 049 

Nyumba SACCOS ilianza tarehe 18 mwezi Juni 1969 kwa usajili namba 1904. Chama kilianza na wanachama 103 kama waanzilishi kikiwa na lengo la kuboresha mahitaji ya kiuchumi kwa wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa kwa kuwawezesha kuweka na kukopa kwa riba ndogo ikilinganishwa na riba zinazotolewa na ma-benki.