Mkopo huu hautazidi kiasi cha TZS. 200,000
Marejesho yatakuwa ndani ya kipindi cha miezi 2 kwa riba ya 10%
Mwanachama hataruhusiwa kupata mkopo mwingine wa WIKIENDI endapo hatakuwa amekamilisha marejesho ya mkopo wa WIKIENDI uliotangulia
Mwanachama anaweza kukopa mkopo wa WIKIENDI hata kama ana mkopo mwingine kama vile mkopo wa maendeleo.
Muombaji atahitajika kujaza fomu ya maombi na kuiwasilisha ofisi za Chama.