info@nyumbasaccos.co.tz +255 746 436 049 

Riba itakuwa kiwango cha asilimia 1 kwa mwezi au asilimia 11 kwa mwaka kwa kutumia mfumo wa salio la mkopo linalopungua [Reducing Balance Method]. Kiasi cha mkopo hakitazidi mara tatu [3] ya akiba ya mkopaji. Ulipaji wa mkopo utakuwa kwa kipindi kisichozidi miezi sitini (60). Kiwango cha juu kitakuwa ni shilingi milioni hamsini (Tshs. 50,000,000/=).