info@nyumbasaccos.co.tz +255 746 436 049 

Mkopo huu utatolewa kulingana na gharama za chombo husika cha moto kama vile gari, pikipiki, bajaj n.k na hautakuwa na makato ya ada ya mkopo na mfuko wa Tahadhari.
Mwanachama atapaswa kuwasilisha Ankara ya madai kutoka kwa mtoa huduma ya bima kama uthibitisho wakati wa kuomba mkopo.
Marejesho ya mkopo huu yatakuwa ndani ya kipindi cha miezi 12 kwa riba ya 2.08%
Kiwango cha kukopa ni hadi Shilingi milioni tano (Tshs. 5,000,000/=)
Mwanachama hataruhusiwa kupata mkopo mwingine wa BIMA endapo hatakuwa amekamilisha marejesho ya mkopo wa BIMA uliotangulia
Mwanachama anaweza kukopa mkopo wa huu hata kama ana mkopo mwingine kama vile mkopo wa maendeleo, bila kuathiri vigezo na masharti (1/3 ya mshahara).