info@nyumbasaccos.co.tz +255 746 436 049 

Mwanachama ataweza kukopa mkopo huu bila akiba maalumu lakini ataweka dhamana isiyohamishika kwa riba ya asilimia kumi na moja (11%) na muda wa marejesho itakuwa miezi thelathini na sita (36). Ili mwanachama aweze kukopa mkopo huu atapaswa kuwa na;

  • Biashara rasmi iliyosajiliwa BRELLA
  • Namba ya Mlipa Kodi
  • Leseni Hai ya Biashara
  • Nakala ya hesabu za biashara yake (Financial Statement)
  • Taarifa zake za kibenki (Bank Statement)
  • Kusajili dhamana yake kwenye mamlaka husika

Aidha mwanachama atarejesha mkopo huu kupitia biashara yake kwa njia ya “Standing Instruction” na mshahara