info@nyumbasaccos.co.tz +255 746 436 049 

Ili kuweza kuwa mwanachama wa Nyumba Saccos. Unapaswa kulipia kiingilio cha sh.15000/= kwa akaunti ya CRDB 01J1007422800. Baada ya kulipa kiingilio hicho unatakiwa kujaza fomu ya kujiunga na kukamilisha maagizo yote yaliyo kwenye fomu hyo.
Kwa maelezo zaidi soma/pakua(download) fomu ifuatayo: