info@nyumbasaccos.co.tz

 +255 746 436 049

Amana ni kiwango chochote cha fedha anayoiweka mwanachama kwa lengo la kujiwekea Akiba inayoweza kumsaidia baadae. Amana ni fedha inayoweza kuwekwa muda wowote na kutolewa ama kupunguzwa kwa muda wowote.

Aina za Amana

Kuna aina mbili za Amana: –

Amana ya Muda maalumu

Ni fedha zinazowekwa na mwanachama kwa muda maalumu kama vile miezi 6, 9, 12 na 24 kulingana na makubaliano kati ya Chama na mwanachama na zinachukuliwa na mwanachama mara baada ya muda waliokubaliana kuiva/kufika. Chama humlipa mwanachama fedha yake aliyoweka kama Amana na Riba waliyokubaliana. Amana inaweza kutumika kama dhamana ya mkopo.

Amana ya kawaida

Huwekwa na mwanachama na huweza kuichukuwa wakati wowote bila kupewa faida.