info@nyumbasaccos.co.tz +255 746 436 049 

Kila mwanachama atatakiwa kuweka Akiba katika kila kipindi kilichokubalika ya kiasi kisichopungua shilingi 75,000/= kwa mwezi na shilingi 25,000 kwa wanachama wastaafu au kiasi kingine kadiri itakavyoamuliwa na Mkutano Mkuu.