Semina ya wanachama wa Mkoani iliyofanyika tarehe 20 Juni 2026 Mkoani Dodoma, ikijumuisha wanachama kutoka mikoa ya Tabora, Dodoma, Iringa, Morogoro na Singida.
Semina hiyo ililenga kutoa elimu kwa wanachama kuhusu Elimu ya Ushirika, Elimu ya Fedha, Uwekezaji na Maandalizi ya kustaafu.



























