Semina ya wanachama wa Mkoa wa Dar es Salaam iliyofanyika Tarehe 7 Februari 2026, ukumbi wa Makao Makuu ya Shirika la Nyumba Taifa(NHC).
Seminaa ambayo wanachama walipata fursa ya kujifunza mada muhimu zinazogusa maendeleo yao ya kifedha na utoaji huduma bora katika maeneo yao ya kazi au biashara.









