Nyumba SACCOS Ltd inayo furaha kuwakaribisha wanachama wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye Semina itakayofanyika Tarehe 16 Mwezi 8, 2025 katika jengo la NHC House – Samora.
Lengo la Semina hii na kutekeleza Sera za Ushirika wa utoaji mafunzo kwa wanachama wa SACCOS ili kudumisha ushirikiano na uwajibikaji wa kila mwanachama kwenye maswala ya chama.

