Kujali jamii ni moja ya Misingi 7 ya Ushirika, kwa kulitekeleza hilo Nyumba SACCOS Ltd ilifanya ziara katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke kwa kutoa msaada wa mahitaji ya Wheelchairs, Peds, Pamper/ Daipers na Wipes.
Muwakilishi wa Hospitali ya Rufaa ya Temeke kwenye picha za pamoja na mjumbe wa bodi, baadhi ya wanachama na wafanyakazi wa Nyumba SACCOS Ltd akipokea misaada hio na kutoa shukrani zake za dhati kwa Chama kwa msaada walioutoa.


