Habari Ndugu wanachama.
Tunayo furaha kuwatangazia ya kuwa Huduma za Mikopo na Uwakala wa Fedha mtandao zimeanza kupatikana katika jengo la Kambarage House – Elevated Floor, karibu kabisa na ofisi za mauzo za Shirika la Nyumba la Taifa. Karibuni Sana
Unakumbushwa kutoa taarifa mara tu unapofanya muamala kuja Nyumba SACCOS LTD kwa njia ya Benki au Uwakala wa fedha mtandao.
”Pamoja Tujenge Uchumi”

